mhariri wa gazeti la Rai Masyaga Matini na wenzake wawili Bora yunisi Bidiga pamoja na samson mwita leo wamepandishwa kizimbani kwa kushukiwa kuwa wamemuomba rushwa mwahandisi wa kampuni ya umee tanesco wilayani monduli kiasi cha shilingi  1,800000 na baadae muhandisi huyo kuwaambia atawapa laki mbili na hivyo kushikiliwa  katika mtego wa takukuru 

kwa mujibu wa kamishina wa Takukuru Kasumambutu amesema kuwa wanamshikilia kwa uchunguzi zaidi na baadae atapandishwa kizimbani ambapo hivi leo wamefikishwa mahakama ya hakimu mkazi jijini Arusha

kwa taarifa zaidi kuhusiana na tukio hilo libeneke la kaskazini endelea kuperuzi

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia