Ticker

6/recent/ticker-posts

KESI YA NGIRABATWARE KUENDELEA JUMA TATU

Kesi ya Ngirabatware kuendelea tena Jumatatu: Kesi inayomkabili Waziri wa zamani wa Mipango wa Rwanda, Augustin Ngirabatware itarejea mahakamani Jumatatu kwa upande wa utetezi kuendelea kumhoji shahidi wa mwisho wa mwendesha mashitaka, ambaye ni mwanadiplomasia wa Nigeria, aliyeanza kutoa ushahidi wake Juni 5, na kisha mahakama kuahirisha kufuatia ombi la utetezi

Post a Comment

0 Comments