 |
| Baadhi ya washiriki wa kumsaka Mrembo wa mkoa wa Arusha wakiwa katika pozi kambini kwao |
 |
| wakwaza kushoto ni mwalimu wa warembo wa jiji la Arusha ,ambaye pia alishawahi kushikilia taji la Urembo Mbeya 2005 pamoja na kuwa mrembo wa nyanda za kuu kusini Enjo Justace katika kati ni mkurugenzi wa mwandago Investiment ambao ndio waandaaji wa shindano hili anayejulikana kama Faustini Mwandago na kulia ni meneja masoko wa hoteli ya Arusha Traveling ambapo ndipo warembo wameweka kambi hapo |
 |
| warembo katika mazoezi ya kucheza |
pozi la warembo kila mmoja alionyesha bwebwe zake
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia