 |
| .Mama
huyu akiwa mapanga bidhaa zake chini hali inayohatarisha mazingira ya
walji kuwa hatarini na halmashauri ya jiji la Arusha kulifumbia macho
kama alivyokutwa na kamera yetu jijini Arusha jana malalamiko ya jiji
kuendelea kuwa chafu yamekuwa yakipuuziwa na viongozi wa halmashauri
hiyo kwa visingizio vya kuwa bize na ripoti ya mkaguzi wa serekali CAG
bna kulitelekeza jiji katika hali hii |
 |
| .Hili ni godoro kwa mtu huyu ambaye hakujulikana jina lake akiwa
amelala katikati ya rundo la taka katika jalala la soko kuu la jijini
Arusha kama alivyokutwa na kamera yetu wachuuzi katika soko hilo na
wananchi wapitao pembeni ya jalala hilo wameilalamikia kamati ya ulinzi
na usalama ya mkoa kwa kufumbia macho vitendo vya uhalifu vinavyofanywa
na vijana wakao na kupekua taka kwenye dampo hilo kila uchwao na
kutochukukiwa hatua yeyote. |
 |
| .sehemu ya wafanyabiashara almaarufu
machinga wakiwa wamepanga bidhaa zao mbele ya maduka kama iliovyokuwa
mtaa wa kongo jijini Dar na halmashauri kulifumbia macho kwa visingizio
vya kuwaogopa na kushindwa kutekeleza sheria hali inayofanya msongamano
katika barabara kadhaa za jiji hili na mbaraza ya maduka wafanyabiashara
ya maduka wameilalamikia halmashauri hiyo kwa kukaa kimya bila ya
majibu yakinifu. |
mitaro aibu tupu
Mama ntilie wakiwa wamepanga vyakula vyo sehemu
hatarishi bila ya kuogopa magonjwa hatarishi wala afya za walaji na
halmashauri ikiwa inaona mama ntilie hao wanadai kuwa wamekuwa wakiilipa
halmashauri hiyo fedha za kuuzia eneo hilo zinazochukuliwa na kampuni
inayokusanya fedha za ushuru wa geti na magari yanayoingia
na kutoka katika stand kuu je halmashauri ipo na inajua hili
Uchafu umekidhiri kwa kweli na ukiangalia ni jiji inaatisha
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia