bustani iliyopo nje ya jengo la mkuu wa mkoa wa Arusha ambayo wananchi wamekuwa wanapumzika hapo nyakati za mchana
muonekano wa barabara za jiji la Arusha leo asubui hapa ni maeneo ya TTCL
Wakati serekali ikipiga vita ajira kwa watoto libeneke la kaskazini lilimkuta mtoto huyu akiwa anachoma maindi maeneo ya barabara ya sanawari kwenye mataa jijini hapa