NAOMI JAMES NDIE REDD'S MISS IRINGA 2012
| Miss Redd's mkoa wa Iringa Naomi James akipita akiwapungia mashabiki wake mara baada ya kutangazwa msishindi mrembo huyu alizawadiwa kitita cha shilingi 500,0 00 |
tano bora kati ya washiriki
12 waliopanda jukwani wa kwanza kushoto ni Amisa Zuber, SArah
Utiku, Naomi James ,Winfreda Felix na Catherine Mfupi
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia