 |
| Vifaa vipya vya simba ,Paulo Ngalema daniel kuffor wakimsikiliza kwa makini kocha wao (hayupo pichani wakati wa mapumziko kwenye mechi ya kirafiki na timu ya shule ya Sant Jude ambapo simba iliibugiza timu ya shule hiyo mabao 12 kwa 0 |
Mchezaji mpya ,Daniel Kuffor kutoka nchini Ivory Coast akiwa kwenye mazoezi na timu yake ya Simba
.vifaa vipya vya timu ya soka ya Simba wakiwa kwenye mazoezi katika katika viwnja vya mpira cha shule ya St. Jude jijini Arusha,Kushoto Pasco Ochieng na Paulo Ngalema
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia