Meneja Masoko wa kampuni ya Megatrade Investment Ltd Goodluck Kway akimkabidhi Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Robert Boaz vifaa vya michezo Kwa ajili ya timia ya Polisi Kilimanjaro.
muonekano wa viatu vilivyotolewa
KAMPUNI ya Uwekezaji Megatrade Ltd kupitia kinywaji chake cha K-Vant Gin imeamua kuidhamini timia ya mpira wa miguu ya Polisi Kilimanjaro ili kufanikisha ushiriki kuamka katika ligi ya mpira wa miguu ya Polisi Jamii mkoa wa Kilimanjaro
Akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo Kwa timia hiyo, meneja mauzo wa kampuni hiyo Goodluck Kway amesema hatua hiyo nia mipango ya Megatrade kurudisha Faida kidogo inayopata Kwa Jamii kupitia Njia ya michezo.
Amesema Kwa kuthamini michezo, mchango wa jeshi la polisi katika Ulinzi K-vant PAMOJA k-vant Dhana nzima ya Ulinzi shirikishi au polisi Jamii kampuni hiyo imeamua kudhamini timu hiyo ili kuongeza hamasa katika mahusiano BAINA ya Askari polisi na megatrade.
Kway alisema vifaa vilivyotolewa vinathamani ya kiasi cha shilingi milioni 6 ambavyo nai Seti Moja ya jezi, Viatu Jozi 18, glovu za mlinda Mlango Seti chapati, mipira 4, vizuia ugoko 18 Seti za k-vant suti za michezo.
"Ni matumaini Yetu kuwa vifaa hivi vitaongeza hamasa katika ushiriki wenu katika michezo kufuatilia megatrade Pia mtakuwa mabalozi wazuri wa kinywaji cha K-Vant" alisema Kway.
Kwa upande kutokana na Kamanda Boaz ameishkuru kampuni ya Megatrade Kwa Msaada huo kwamaba umekuja wakati Muafaka wakati jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro likijiandaa kuirejesha timia yake katika medani ya Soka baada ya kupotea Kwa takribani miaka 5