Mtu Huyu alioko katika picha anaejulikana kwa jina la Saidi bakari Muhazawa (50) mkazi wa Majengo jijini Arusha anaomba msaada kwa watanzania ili aweze kupata fedha za matibabu kwa ajili ya ugonjwa wa kansa unaomsumba katika paji lake la uso.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha saidi bakari alisema kuwa ugonjwa huo aliupata tangu mwaka 2010 ambapo umna umri wa miaka miwili kwa sasa.
Alisema kuwa uvimbe huo aliupatakutokana na ajali ambayo aliipata katika jicho lake ambapo alibainisha kuwa alikuwa anasafisha shamba lake huko mkoani Mwanza wilayani Sengerema ambapo kijiti kilimchoma jichoni na ndipo tatizo lilianza hapo.
Alisema kuwa alishaenda katika hospitali ya bugando na kumwambia hiyo ni kansa mpaka aende Ocen road ndipo alipoenda alilazwa kwa muda wa miezi mitatu bila kupatiwa matibabu na kuzungushwa kila siku kutokana na kukosa fedha kwa ajili ya matibu.
Alisema alikaa pale kwa muda ndipo akaandikiwa rufaa ya kwenda kupata matibabu katika hospitali ya KCMC ambapo alikwenda ndipo akajibiwa kuwa rufaa yake aikidhi kwani ugonjwa haueleweki na pia alitakiwa kutoa fedha ila hakuwa nazo ndipo akawauliza kama rufaa haieleweki kwanini hospitali zote wamempima mpaka akafikiwa kupelekwa hapo kCMC
"baada ya pale ndipo nikaambiwa tena niende muhimbili ili nikachukuliwe kipimo chakukata nyama ambapo nilenda na kukaa siku 21ndipo nikaambiwa sample imepotea ambapo nilitakiwa kukatwa kipande kingine cha nyama ili kikapimwe ndipo nikakatwa nikambiwa hiyo ni kansa ndipo wakaniambia nikaawaeleza sina ela wakanipeleka tena ocen road na kukaa siku 23 wodini bila matibabu niliuliza nikaambiwa mpaka nitoe hela na mimi nikawa sina ela"alisema Muhazawa
Alimalizia kwa kuomba watanzania wenzake wamsaidie iiwapo kwa matibabu ili aweze kutibiwa na kurudi katika hali yake kwani anashindwa kufanya kazi yeyote na shughuli zake zimesima ma na kwa hapa mkoani Arusha alikuwa ameshukia gesti na amefukuzwa hana sehemu pakukaa hivyo aliomba wanachi wamsaidie.
kwa wanaotaka kumsaidia watumie namba 0656447595 mgonjwa huyu anatakiwa kiasi cha shilingi milioni moja na laki tano kwa matibabu ili atibiwe katika hospitali ya Ocean Road