Bendi ya walemavu ikitumbuiza njimbo za injili
Dj Aswile akifanya mambo yake
mfanyakazi wa kampuni ya tigo akionyesha utalamu wake
mdada akifanya mambo
bendi ya watoto wa simba ya mjini arusha ikitumbuiza ,bendi hii ambayo kila jumamosi inapiga katika kiwanja cha bar ya sakina huku jumapili ikiwa matongee njiro
Ndizi kutoka wialaya ya hai
unatakiwa kutumia kinywaji cha kvant kutoka Arusha