MWENGE WA UHURU WAINGIA JIJINI ARUSHA

 
waongoza mwenge wakielekea ndani ya viwanja vya chuo cha ufundi cha Arusha
 mwenge ukiwa unalinda na askari polisi
 
Wananchi walioteuliwa kupokea mwenge ,wakiupokea  mwenge wa UHURU jijini Arusha,kwenye viwanja vya magorofa ya NHC jijini Arusha leo.

 
waongoza mwenge wakielekea ndani ya viwanja vya chuo cha ufundi cha Arusha

wananchi wakiutazama mwenge wa UHURU leo ,jijini Arusha,kwenye viwanja vya chuo cha ufundi cha ArushaWananchi walioteuliwa kupokea mwenge ,wakiupokea  mwenge wa UHURU leo ,jijini Arusha,kwenye viwanja vya magorofa ya NHC jijini Arusha leo

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post