Mchezaji mpya ,Daniel Kuffor kutoka nchini Ivory Coast akiwa kwenye mazoezi na timu yake ya Simba
.vifaa vipya vya timu ya soka ya Simba wakiwa kwenye mazoezi katika katika viwnja vya mpira cha shule ya St. Jude jijini Arusha,Kushoto Pasco Ochieng na Paulo Ngalema