Warembo wanao wania tajhi la Redds Miss Kanda ya Mashariki 2012 wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao uliyoanza katika eneo la nane nane nje kidogo ya mji wa Morogoro. Warembo hao wanataraji kupanda jukwaani katika Hoteli ya kisasa ya Nashera iliyopo mjini Morogoro Septemba 1, 2012 kuwania taji hilo linaloshikiliwa na Miss Sports Woman, Loveness Flavian.
Mratibu wa shindano la Redds Miss kanda ya Mashariki 2012, kutoka Kampuni ya Nepa Production & Events, Alexandra Nikitasi akizungumza na warembo hapo