Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Madakatari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka akiwa ameshika
ua mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam jana, akitokea nchini Afrika Kusini kwa
matibabu
Wanaharakati wakipaza sauti wakati wa mapokezi ya Ulimboka.
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Madakatari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka akipata mapokezi
makubwa wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo, akitokea nchini Afrika Kusini
kwa matibabu baada ya kutekwa na kuteswa na watu wasiojulikana. Picha ya
chini ikimuonesha Dk. Ulimboka akiwa katika hali mbaya baada ya
kuokotwa katika msitu wa Mabwepande, Juni 27.
DK. Steven Ulimboka, akiwa mahututi wodini