mmoja wa wanachama wa kata ya ngarenaro akiwa anachangia jambo katika mkutano huo wa wanachama wa ccm
katibu wa ccm kata ya ngarenaro akiwa anafafanua jambo kwa wanchama wa ccm katika kata yake
Tatizo la kupitishwa kiongozi asiyetakiwa na wachama chama wa chama cha mapinduzi bado linaendelea katika kata mbalimbali jijini hapa hali inayopelekea chama hicho kuendelea kufurugana.
hayo yametokea katika kata ya ngarenaro ambapo libeneke la kaskazini lilibahatika kufika katika ofisi ya kata hiyo na kuwakuta viongozi waliopo madarakani kulumbana na wanchama wa chama hicho kwa kile kilichosemekana kuwa majina ya viongozi wanaogombea nafasi mbalimbali za chama katika kata hiyo yaliyopelekwa wilayani sio yale ambayo yalipendekezwa na wanachama wenyewe wala yale ambao baadhi ya wanachama wamejazafumu hali iliyopelekea wanchama hao na viongozi kuvurugana.
Swala hili ndilo linalosababisha makundi katika chama chama mapinduzi nawasipo angalia kwa makini wataendelea kupoteza kata mbalimbali hapa nchini na hata majimbo kwani jinsi wanavyokuwa na makundi wanawapa nafasi wapinzani kupita