TUJIKUMBUSHIE BAADHI YA MATUKIO YALIYOTOKEA KWENYE USAHILI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH ULIOFANYIKA COCO BEACH


MSHIRIKI akipozi kwa ajili ya picha pindi anavyosubiri zamu yake mbele ya majaji

Washiriki wakisubiri kuwaona majaji
 walijitokeza washiriki wengi kupita kiasi

CAESAR DANIEL, LEON COETZER NA SWEDE WA BENCHMARK WAKIWAHOJI WASHIRIKI 

 Salama akimsikiliza mshiriki kwa makini

Washiriki waliojitokeza kwa ajili ya usaili coco beach siku hiyo

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post