madaktari wa hospitali ya AICC wakiendelea kutoa huduma ya upimaji sukari bure
wanafunzi waliouthuria siku hiyo ya kuamasisha sensa
wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kupima sukari jijini Arusha katika hospitali ya AICC
Diwani wa kata ya kaloleni akiwa anachangia mada katika siku hiyo ya kuamasisha sensa hiyo
kaka Ramathan Mvungi akiwa na mpiganaji kilembu akiwa anamfanyia mahojiano mwanafunzi ambaye ni mwenyekiti Hassan Omary ambao ambaye aliaanda semina ya kuamasisha sensa
wafanyabiashara wakifanya biashara ya machungwa