Mkurugenzi
wa banki ya CRDB mkoani Arusha Chiku Issa akitoa vyeti kwa Mmoja wa
washiriki wa semina ya uwezeshaji wajasiriamali wa awali na
wakati na wateja wa banki hiyo katika siku ya mwisho ya kufunga semina
hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya Golden Rose jijini Arusha
baadhi
ya wajasiramali waliomaliza kwenye vyuo vikuu hapa nchini na kujiunga
na ujasiriamali wakiwa na mkurugenzi wa benki ya CRDB mkoani Arusha
Chiku Issa mwenye ushungi akiwa na mwasheria wa banki hiyo Aphar ambaye
alikuwa muwezeshaji kwenye semina ya uwezeshaji wa wajasiriamali waawali
na wakati iliyoendeshwa na banki jijini Arusha.