Nobert
Olomi ambaye ni Mwenyekiti wa
kamati ya maandalizi ya Misa ya shukrani ya kupata upadrisho kwa Padri
Gasto Sinkala akimkzungumza juzi kwenye Kanisa Katoliki mji mdogo wa
Mirerani Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,wakati wa kumkabidhi gari
aina ya Toyota Escudo padri huyo kama zawadi baada ya Padri Sinkala
(kulia) kupata daraja hilo la upadri hivi karibuni mjini Arusha