Mfanyakazi wa shirika la Kentainers la nchini kenya akiwa anawaonyesha waratibu na wakurugenzi wa kanda kutoka nchi za afrika jinsi mtambo mpya wa teknologia ya biogesi unavyoweza kufanya kazi mbalimbali ikiwemo kuwasha jiko la kupikia na kutumia na jiko hilo linaweza kutumiwa na mashirika mbalimbali ,mashule ,hospital pamoja na vyuo.(picha na mdau wa Libeneke la kaskazini mahmoud Ahmad
wanafunzi wakiwa kwa darasa