wanachama wa timu ya kitambi noma ambao ni washabiki wa timu ya yanga wakiwa wanakabidhiana fedha kwa ajili ya maandalizi ya siku ya tamasha lao ambayo inatarajiwa kufanyika siku ya idi
wanachama wa kitambi noma wakiwa na mtangazaji wa Radio 5 wakifurahi pamoja
Ebwana eeeh raha jipe mwenyewe asiye na mwana aeleke jiwe
Two in one ilikuwa imependeza sana watu kibao walikuwepo na ukizingatia ilikuwa wikendi imeanza