muonekano wa barabara ya Anex arusha mara baada ya kuwekwa lami
Bara bara ya bondeni iliyopo katikati ya jiji la Arusha ikiwa imemwagwa vifusi vya udongo kwa ajili ya matengenezo ya kuweka lami
Wauza viatu wakiwa wamepanga viatu pembezoni mwa barabara kuu ya kuelekea standi ya mkoa jijini Arusha