Home DK. DALALI KAFUMU AVULIWA UBUNGE IGUNGA bywoinde -Tuesday, August 21, 2012 0 Kwa habari zilizotufikia hivi punde kutoka mahakamani kuwa mbunge wa Igunga kwa ruhusa ya CCM Dk. Peter Dalali Kafumu Amevuliwa Ubunge na Mahakama, Habari zaidi zitakujia hivi punde usikae mbali na blog hii Facebook Twitter