BENDI mpya inayotamba kwa sasa hapa nchini na ambayo imechukuwa tuzo mbalimbali za muziki hapa nchini (MASHUJAA BAND)inatarajia kutua jijini Arusha kuwapagawisha wa kazi wa jiji hili la vitongoji vyake april 20 mwaka huu ambao ni usiku wa pasaka katika ukumbi wa Trilpe A uliopo jijini hapa
viingilio vya onyesho hili la mashujaa BAND litakuwa 10000 kwa kila mmno ambapo bendi hii itapiga mziki mpaka liamba usikoseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee