BREAKING NEWS

Friday, April 4, 2014

WAALIMU WA SEKONDARI WARIPOTI KAZINI JIJINI ARUSHA

Ukumbi wa Mikutano JIJI LA ARUSHA

Waalimu walioripoti kazini wakisubiri kufundwa na Afisa Utumishi wa JIJI LA ARUSHA

Waalimu walioripoti kazini wakisubiri maelekezo toka kwa Afisa Utumishi wa JIJI LA ARUSHA

Waalimu walioripoti kazini wakiwajulisha ndugu, jamaa na marafiki wamepangiwa JIJI LA ARUSHA

Kwenye vitu vizuri sikosekanagi nikiwa ndani ya Ukumbi wa Mikutano nikisubiri kufundwa na Afisa Utumishi wa JIJI LA ARUSHA

Share this:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

 
Back To Top
Copyright © 2014 MOUNT KILI NEWS. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates