BREAKING NEWS

Thursday, April 3, 2014

MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA CHADEMA AFANYIWA DUA ILI ASHINDE UCHAGUZI CHALINZE JUMAPILI


Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Issa Said Mohamed akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Miono, katika mkutano wa kampeni, uliofanyika kijijini hapo jana.

Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Miono wakiitikia kauli mbiu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ya "Peoples Power" wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Miono jana.

Kiongozi Mkuu wa kimila wa wamasai, Tikwa Moreto (kushoto), akiongozana na mgombea wa ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey (kulia) na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Issa Saidi Mohamed walipokwenda nyumabni kwake kwa jaili ya kuomba baraka zake leo. 

Kiiongozi wa kimila wa wamasai, Tikwa Moreto (aliyeketi), akishiriki kumwombea mgombea wa ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Dempkrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey (wa tatu kushoto), nyumabni kwa kiongozi huyo kijiji cha Gumba, Kibaha Vijijini

Share this:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

 
Back To Top
Copyright © 2014 MOUNT KILI NEWS. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates