Meneja
wa Kampeni wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Steven
Kazidi (kushoto) akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mbala,Kata ya
Bwilingu wakati wa kumnadi Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete.
Diwani wa Kata ya Bwilingu,Nassar Ahmed Karama akiongea kwa kusisitiza wakati akiwasilisha taarifa ya Kata yake kwa Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete ,kwenye Mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Khadija Aboud akiwasalimia wakazi wa Kijiji cha Mbala,Kata ya Bwilingu wakati wa Mkutano wa Kameni na kumnadi Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani (CCM) akiwasalimia wakazi wa Kijiji cha Mbala,Kata ya Bwilingu wakati wa Mkutano wa Kameni na kumnadi Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani (CCM),Subira Mgalu akiwasalimia wakazi wa Kijiji cha Mbala,Kata ya Bwilingu wakati wa Mkutano wa Kameni na kumnadi Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mbala,Kata ya Bwilingu wakati wa Mkutano wa Kameni za CCM.