Ticker

6/recent/ticker-posts

WARIDI FRANK NDIE REDDS MISS ARUSHA 2012

Warid Frank ndio Redds Miss Arusha 2012
Msanii Diamond akitoa burudani ndani ya hotel ya Mount Meru kwenye onyesho la kumsaka Reds Miss Arusha
Miss Arusha Waridi Frank akipita jukwaani na vazi la ubunifu
Mrembo aliyeshika nafasi ya tatu Sarah benjamini akipita na vazi la ubunifu
warembo walioingia tano bora
Mrembo namba tatu Anitha Sebasitiani akiwa anapita jukwaani na vazi lake la ubunifu
Msanii Sam Waukweli alikuwepo mmoja wapo katika kurembesha Redds Miss Arusha
MASHINDANO YA KUMTAFUTA MREMBO WA JIJI LA ARUSHA MISS REDDS ARUSHA 2012 YAMEFANYIKA JIJI HAPA KATIKA HOTELI YA MOUNT MERU HUKU MREMBO WARID FRANK AKIIBUKA MSHINDI, NAMBA 2 IKISHIKWA NA SARAH BENJAMIN NA ANITHA SEBASTIAN AKISHIKA NAFASI YA TATU.

Post a Comment

1 Comments

  1. Kwakweli blog yako inapendeza, songa mbele kila kitu kinawezekana.Karibu pia http://victormachota.blogspot.com

    ReplyDelete

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia