Flag this message KUWA MMOJA WAFAMILIA YA SKYLIGHT BAND KILA IJUMAA @ THAI VILLAGE MASAKI JIJINI DAR


Aneth Kushaba AK 47 kwa maringo kabisa.
Hapo sasa twende kazi sebene limekolea, Wazungu nao wamo siku hizi kwa mauno eeeh.!!
Ghafla bi Vuu Msanii wa kufokafoka Chid Benz alivamia jukwaa na kuchana sambamba na Warembo wa SKYLIGHT BAND.
Aneth Kushaba AK 47 sambamba na Chid Benz wakikamua.
"Dar es Salaam stand up put your hands up"......Mashabiki walikunwa vilivyo na Kolabo la Chid Benz na SKYLIGHT BAND kama inavyoonekana pichani.
Blogger King Kif (kulia)sambamba na warembo ndani ya SKYLIGHT Band.

Mario Mpingwira na warembo kibao.
Mdau Frank naye alikuwepo.
Blogger Cathbert Kajuna na Wadau.
Hawa ndio kila siku hawakosekani wao na SKYLIGHT BAND dam dam.
Warembo katika pozi mbele ya Kamera yetu.
Couples waliong'ara ndani ya SKYLIGHT BAND ni hawa.
Msanii Jon Myuzik ndani ya nyumba tena alishika Mic picha yake tu ndio imekosekana.
Wadau wakiendelea kushow love.
Wapo warembo wazuri wenye heshima kwa ajili ya kukuhudumia vinywaji.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post