MADEE, BABY MADAHA, TUNDA MAN NA CHIDI BENZ KUIPA TAFU "BONGO DAR ES SALAAM" YA DUDE!!!




Ile show iliyokuwa maarufu kwenye kituo cha runinga cha TBC1, ‘Bongo Dar es Salaam’ inatarajia kurejea kwa kishindo kwenye screen.
Staa wa show hiyo Kulwa Kikumba maarufu kama Dude amezungumza kuhusu kuanza tena kwa show hiyo ambayo ipo kwenye hatua ya kurekodiwa. Dude. 
Amesema ili kuufanya ujio wa show hiyo kuwa wa kishindo zaidi ameamua kuwashirikisha mastaa wa muziki nchini wakiwemo Bahati Bukuku ,Madee,Tunda ,Baby Madaha na Chid Benz. 
Dude alisema makubaliano yakifikiwa watashuti wiki hii huku kambi ikiwa Lamada Hotel. 
Baby Madaha ameithibitishia kuhusu kushiriki kwenye mchezo huyo
“Tunarekodi michezo mingi zaidi ili tukianza kuirusha hatupumziki,” anasema 

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia