TIMU BIGWA SAFARI POOL 2012 KAYUMBA KLABU YAPOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI DAR
Mabingwa wa Safari Pool Taifa 2012, Kayumba Klabu wakishangilia na Kikombe mara baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam
Mabingwa wa Safari Pool Taifa 2012, Kayumba Klabuwakishangilia na
Kikombe kwenye gari la wazi mara baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo Taifa, Henry Lihaya akizungumza wakati
wa hafla fupi ya kuwapongeza Mabingwa Klabu ya Kayumba iliyofanyika
Nyantare Tabata jijini Dar es Salaam.
Mabingwa wa Safari Pool 2012, Kayumba Klabu wakiwa kwenye picha ya
pamoja na mgeni rasmi,Meneja wa Bia ya Safari Lager na baadhi ya
viongozi wakati wa hafla hiyo.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia