APPY BIHAPPY BIRTHDAY MHESHIMIWA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!

Tarehe ya leo Oktoba 7 ni siku aliyozaliwa Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho kikwete(JK). LIBENEKE LA KASKAZINI inaungana na maelfu ya wananchi wa Tanzania na Duniani nzima waliomtakia maisha mema na wanaoendelea kumpongeza kwa siku hii. Sisi Bukobasports tunamtakia maisha marefu na ya afya njema na Mungu amjalie ili aweze kuliongoza Taifa letu vema.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia