MAMA REGINA LOWASSA AWAFUNDA WAREMBO WA REDD'S MISS TANZANIA 2012
Mgeni
Rasmi katika Hafla ya Kuwakaribisha Warembo wanataoshiriki
kinyang'anyiro cha kumsaka Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 katika
Mji wa Monduli,Mama Regina Lowassa akiwaasa warembo hao juu ya wao
kujiheshimu na kuliheshimu shindano hilo.
Mkurugenzi
wa Rino Agency ambao ni waandaaji wa Mashindano ya Miss Tanzania,Hashim
Lundenga akizungumza machache wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye
hoteli ya E'Manyata,Monduli.Kulia kwake ni Mgeni Rasmi katika hafla
hiyo,Mama Regina Lowassa,Dada Mkubwa wa Mh. Lowassa Mama Kalaine Lowassa
pamoja na Meya wa Monduli,Mh. Kadogoo.



Dada
mkubwa wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa,Mama Kalaine Lowassa
(kulia) pamoja na Mke wa Mh. Lowassa,Mama Regina Lowassa wakishirikiana
kwa pamoja kuwavisha mavazi ya kimasai warembo wa Redd's Miss Tanzania
2012 waliotembelea Mji wa Monduli,jijini Arusha.
Warembo wakiwa wamevalia Mavazi ya Kimasai.
Viongozi
wakuu wa Kamati ya Miss Tanzania,toka kushoto ni Mkuu wa Itifaki wa
Miss Tanzania, Albert Makoye,Afisa Habari wa Miss Tanzania, Ricco Hiden,
Katibu Mkuu wa Miss Tanzania, Bosco Majaliwa pamoja na Miss Tanzania
2012, Salha Israel.
Mgeni
Rasmi,Mama Regina Lowassa akiwa na Uongozi wa Kamati ya Miss Tanzania
na Viongozi wa Mji wa Monduli pamoja na Warembo wa Redd's Miss Tanzania
2012.
Warembo
wa Redd's Miss Tanzania 2012 wakishiriki kucheza mpira wa Miguu na
Watoto Yatima kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Arusha.
Warembo
wakishiriki kuosha magari ikiwa ni sehemu ya kuwahamasisha wakazi wa
jiji la Arusha kuwachangia fedha kwa ajili ya mahitaji mbali mbali
watoto yatima wa Jijini humo.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia