SEHEMU YA KULA MARAHA DAR YAZINDULIWA NI THAI VILLAGE


Baadhi ya Wanamuziki wa SKYLIGHT BAND wakishambulia Jukwaa mwishoni mwa wiki katika show ya kukata na shoka kwenye kiota chenye upepo mwanana cha THAI VILLAGE Masaki jijini Dar es Salaam. Pichani ni Rappa Sam Machozi akisindikizwa na Wenzake Aneth Kushaba AK 47 pamoja na SONY MASAMBA.


 Sam Machozi kazini. Hapa unapata kila kitu Style zote za muziki kuanzia Dancehall, Reggae, R & B,  Azonto na nyinginezo bila kusahau Kwaito.




Mdogo mdogo wapenzi wa Skylight Band wakaanza kujimwaga kwenye dancing floor


Wadau wa Skylight Band na nyuso za furaha.



About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia