YANGA KUUMANA NA TOTO AFRIKA UWANJA WA KIRUMBA KECHO


 kikosi cha timu ya  yanga katika picha
KIKOSI kizima cha timu ya yanga leo kimetua jijini mwanza kwa ajili ya kuendelea na mechi zake za ligi kuu ya vodacom na kesho kinatarajiwa kuingia katika kiwanja cha CCM kirumba kuchuana vikali na wenyeji wao wa mkoani ambapo ni timu ya Toto Afrika
kikosi cha Toto Afrika

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia