TUNALALAMIKA HATUONI MVUA LAKINI NDO WA KWANZA KUKATA MITI

Wantanzani kwa hali hiiya kuza mikaa hivi kweli ukame utaisha hawa wafanya biashara walikutwa na kibeneke la kaskazini shinyanga shinyanga wakipeleka mkaa kuuza na sio hawa tu walikuwepo kama hamsini sasa sijui askari wa maliasili wapo wapi  na je serekaliinatambua kuwa kunawatu wanaendelea kumaliza miti kwa kuchoma mikaa

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia