WADAU WA MADINI WAIOMBA SEREKALI KUPUNGUZA GARAMA ZA LESENI
WADAU wa Vyama vya Wachimbaji Madini, (REMAS) kwa kushirikiana na
Chama cha Wanunuzi wa Madini wa Kati, (TASGEDO) wamepinga hatua ya
serikali kupandisha gharama za lesini za utafiti, uchimbaji na leseni
za ununuzi wa madini ya vito na alimasi nchini bila ya kuwashirikisha
wadau wa sekta ya madini.
Hayo yamebainishwa jijini hapa na Katibu Mkuu wa REMAS, Issa Letema,
wakati akiongea na waandishi wa habari jijini hapa kuhusiana na
malalamiko hayo.
Alisema gharama hizo za leseni ya utafiti na uchimbaji wa madini
zimepanda kwa kiasia kikubwa kwa kila kiwanja kutoka kati ya Sh. 80,
000 na Sh. 160, 000 hadi kufikia kati ya Sh. 320, 000 na Sh. 800,000
kitu ambacho kinawaumiza sana wachimbaji wadogo na kinawashangaza.
Alisema vyama hivyo viwili vimepokea kwa masikitiko makubwa kwa hatua
hiyo ya serikali kupandisha gharama hizo na malipo ya leseni hizo za
utafiti uchimbaji wa madini ambapo ongezeko hilo litawaletea athari
kubwa kiuchumi kwa taifa zikiwemo lesini za wanunuzi wakubwa na
wadogo wa madini nchini kushindwa kumundu gharama hizo.
Aidha alisema kupandishwa huko kwa garama kunapelekea inasabishia
wafanya biashara wengi kusafirisha madini yao nje ya nchi bila ya
kulipia na kuyafunga.
Alibainisha kuwa malipo ya leseni ya utafiti na uchimbaji wa madini
ambapo ongezeko hilo litaleta athari kubwa kuchumi kwa taifa letu
zikiwemo leseni za wanunuzi wakubwa na wadogo wa madini nchini
kushindwa kumundu gaharama hizo .
Alisema kuwalipisha wachimbaji hao wadogo na wakubwa ni kuwaweka
katika mazingira magumu na kuwafanya washindwe kuendelea na shughuli
za uchimbaji na biashara ya madini hapa nchini, hali hiyo inawafanya
wao kama wachimbaji madini kuthani kuwa serikali imewafuta wazawa
kwenye uchimbaji wa biashara ya madini na kuongeza wimbi kubwa la
uchimbaji haramu na wafanya bishaa haramu kitendo ambacho kitapelekea
kuwepo kwa utorshaji mkubwa wa madini nje ya nchi.
Wachimbaji hao waliiomba serikali kutambua kuwa madini ni raslimali ya
Watanzania na hazina ya taifa na inastaili kuheshimiwa hivyo
kupandishwa kwa bei mpya ya ulipaji wa leseni za uchimbaji na wannuzi
wa madini kimesabaisha wafanya bisharawengi kuhamia nchi jirani ya
Kenya.

0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia