WATU MILIONI TATU WANUFAIKA NA MIRADI KUTOKA KITUO CHA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
Kituo
cha Mafunzo ya Ujasiriamali Tanzania chenye makao yake makuu mjini
Daresalaam kiatarajia kunufaisha watu kati ya milioni mbili na milioni
tatu katika wilaya 56 za Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar
Mkurugenzi wa Kituo hicho hapa nchini Mbutolwe Lucy Mwaipopo amesema hayo mjini Kahama jana alipokuwa akieleleza mikakati ya kituo hicho
Mwaipopo alisema lengo la kituo ni kuwafikia kaya zaidi ya 20,000 maskini zene watu kati 100,000 na laki 300,000 ifikapo mwaka 2015
Alisema watu hao wapatiwa ngombe na mbuzi wa kisasa na kuku pamoja na kujengewa mabwawa ya samaki kwa njia ya ruzuku awamu hii ya kwanza
Mkurugenzi Mwaipopo amesisitiza kuwa program hii niya miaka kumi na inatakelezwa na taasisi hiyo kama sekta binafsi na Serikali (PPP) kwa ufadhili wa Shirika la Misaada la Uingereza DFID
Mwaipopo amefafanua kuwa mradi huu unawalenga zaidi kaya maskini hususani wanawake wajane, wasio na uwezo kiuchumi
Aidha amefaanua kuwa mradi unawalenda pia watu wengine wa kipato cha chini na wenye utashi wa ufugaji na ambao wataweza kuendeleza miradi hii kwa hiari yao ili kuinua kipato chao
Mwaipopo amesema mradi huo hivi sasa unatekelezwa katika Mikoa ya Shinyanga,Morogoro, Iringa,Dodoma, Mbeya, Tabora na Zanzibar na Pemba katika awamu ya kwanza ifikapo mwaka 2015
Mkurugenzi Mwaipopo aidha amesema mradi huu unatarajia kutekelezwa katika mikoa ya Kagera,Mara,Kigoma ifikapo mwaka 2025 ili kufikia malengo ya Mellenia
Naye Daktari wa mifugo katika taasisi hiyo Dakta Herman Kamwela amesema ili mtu aweze kunufaika na mradi huo lazima kwanza ahudhurie mafunzo ya siku kumi
Hatua itamsaidia kumjengea uwezo wa kutambua mradi wenyewe na jinsi atakavyowezaa kuhudumia ambapo atafundishwa masuala yanayohusu afya, tiba,dalili za magonjwa aina ya mifugo bora
Dakta Kamweleza amesisitiza kuwa mradi huu umelenga wakomboa wananchi wa kipato ca chini kuondokana na umaskini unaowakabili maelfu ya wanawake wa Tanzania hivi sasa hususani wa maeneo ya vijijini
Aidha Dakta Kamwela amesisitiza kwamba mradi huu utasaidia kupinguza migogoro ya chakula katika kaya vijijini pamoja na utapiamlo katika jamii
Migogoro ya chakula bora vijijini , utapiamlo ni changamoto kubwa inayokabili familia nyingi vijijini hususani watoto wenye umri wa miaka chini ya mitano na mama wajawazito.Alieleza Dakta Kamwela
Pia alisema chini ya mradi huu wanufaika wa mradi huu pia hufundishwa teknolojia sasa kisasa za ufugaji na namna ya kuhudumia mifugo kiutalaam zaidi
Hata hivyo Dakta Kamwela ametaja baadhi ya changamoo zilizopo ni tatizo ya upatikanaji wa madawa ya mifugo hasa maeneo ya vijijini na ubora wa madawa hayo
Mtalaam huyo wa sekta ya mifugo na kilimo alisema dawa nyingi zinazongizwa nchini hussani zinazowafikia wafugaji vijijini ni zile ambazo muda wake umekwsha na mbazo hazifai kwa matumizi
Ametaja baadhi ya mikakati ya taasisi hiyo kuwa ni kujenga majosho ya kisasa yasiyotumia maji mengi katika kila kijiji cha mradi
aidha taasisi hiyo amesema taasisi pia inatarajia kuanzisha madawa ya mifugo katika kila wilaya ili kupunguza kero kwa wafugaji

0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia